Kiswahili 4. Sanifu kwa Shule za Sekondari. Kitabu cha...

Kiswahili 4. Sanifu kwa Shule za Sekondari. Kitabu cha Mwanafunzi

Ndayambaje Ladislas, Niyirora Emmanuel.
0 / 4.5
0 comments
이 책이 얼마나 마음에 드셨습니까?
파일의 품질이 어떻습니까?
책의 품질을 평가하시려면 책을 다운로드하시기 바랍니다
다운로드된 파일들의 품질이 어떻습니까?
Выходные данные неизвестны. Изд.: Tanprints. 88 стр.Kunapita wakati wa kotosha Wanyarwanda walikuwa na hamu ya kujifunza lugha ya Kiswahili lakini shida ilikuwa ni ukosefu wa vitabu vinavyoandikwa katika lugha hiyo kwa ufasaha. Ikumbukwe kuwa kazi ya kuandika vitabu si jambo rahisi kwa kila mtumiaji wa lugha.
Wakati huu Kiswahili kina umuhimu sana katika jamii ya Afrika na hata katika ulimwenguni kote. Hii ni lugha rahisi kuitamka kutokana na mtindo wake kama lugha nyingine za kibantu.
Kitabu hiki ambacho ni “Kitabu cha mwanafunzi kidato cha nne” kinaundwa na sehemu kuu 6 ambazo ni: historia ya Kiswahili, fasihi, ngeli za majina, usemi halisi na usemi wa taarifa, utungaji na aina za maneno. Kitabu hiki kitasaidia katika ufundishaji wa Kiswahili katika shule zinazofundisha lugha kikiwemo Kiswahili.
Kitatilia mkazo matumizi ya Kiswahili katika maisha ya kila siku kwa wale wanaohitaji kuelewa na kutumia Kiswahili ipasavyo.
Kitabu hiki kimeandikwa kwa ajili ya kuziba pengo la ufundishaji wa Kiswahili na kumaliza mahitaji ya walimu na wanafunzi. Kitabu hiki kimejaribu kuishughulikia miundo tofauti ya lugha ya Kiswahili kwa urefu na kuondoa utata unaojitokeza katika kusoma na kufundisha Kiswahili.
Kitabu hiki kimeandikwa na Ndayambaje Ladislas na Niyirora Emmanuel ambao ni walimu kutoka Chuo Kikuu cha Elimu cha Kigali. Ndani mwake tulitoa maelezo ya kila mada inayounda kitabu hiki pamoja na mazoezi yatakayowafanya wanafunzi kukua kiakili na kijamii.
Katika kitabu hiki tunadhamiria kuwaeleza wanafunzi namna ya kutumia historia ya Kiswahili, sarufi ya Kiswahili, fasihi pamoja na maandishi mbalimbali kwa kuendeleza maisha yao ya kesho.
Pamoja na haya, maswali maridhawa ya kufanyia mazoezi yametolewa ili kumshirikisha mwanafunzi moja kwa moja na yale anayojifunza.Учебник суахили для 4 класса средних школ Руанды (1 книга из серии).
카테고리:
언어:
indigenous
파일:
PDF, 661 KB
IPFS:
CID , CID Blake2b
indigenous0
온라인으로 읽기
로의 변환이 실행 중입니다
로의 변환이 실패되었습니다

주로 사용되는 용어